GET /api/v0.1/hansard/entries/1369848/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1369848,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1369848/?format=api",
    "text_counter": 317,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": " Nimekubali kurekebishwa kwa hilo. Wangeanza na la kuua watu. Walianza vipi na la mafilamu? Sisi twataka kujua la watu kuuawa. Mhusika amaliziwe kesi yake. Ingekuwa ni Muislamu, angekuwa ameshapigwa risasi na amemalizwa. Wasiwacheleweshe watu ilihali wana majonzi katika mioyo yao. I standguided, Ahsante Mheshimiwa Owen Baya. Ninamaliza kwa kusema sheria ni msumeno, hukata mbele na nyuma. Ikiwa sheria inafuatwa, Zamzam akikosa isiangaliwe kuwa ni Zamzam Mohammed apigwe risasi. Yafaa iwe Zamzam akikosa, apigwe risasi na vile vile Owen Baya akikosa, apigwe risasi. Isiwe sisi tunauawa, na wengine wanapewa maziwa na mkate ndani ya cell . Mimi ninasikia uchungu."
}