GET /api/v0.1/hansard/entries/1369884/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1369884,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1369884/?format=api",
    "text_counter": 353,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Jomvu, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
    "speaker": null,
    "content": " Ahsante sana, Mhe Spika wa Muda. Ndiyo hata wewe binafsi ulipoenda nchini Uganda, ulisema hutaki mambo ya ushoga. Hii ni kwa sababu wale wanaofanya mambo yale pia ni wahalifu. Rais Museveni alisema akikupata unasajili mashoga, anakuua. Kwa hivyo, ile kuua yake si kwa sababu ya mambo ya ugaidi, ila kutekeleza maneno mazuri yaliyosemwa na Mhe. Kaluma. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor"
}