GET /api/v0.1/hansard/entries/1369885/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1369885,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1369885/?format=api",
    "text_counter": 354,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Jomvu, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
    "speaker": null,
    "content": "Ninamalizia kwa kusema vile Mhe. Zamzam alikuwa amesema hapo awali: Kwamba sisi tutamchunga ndugu yetu, Mhe. Owen Baya. Mtu yeyote yule ambaye atamgusa, ajue amegusa live wire . Vile vile, yeyote yule ambaye atamnyooshea kidole, ajue amegusa live wire . Mimi hapa, kijana mwepesi Garang de Mabior, mzee fula ngenge, nitakuwa hapo kumwangalia. Ahsante sana, Mhe. Spika wa Muda. Ninaunga mkono Hoja hii."
}