GET /api/v0.1/hansard/entries/1369906/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1369906,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1369906/?format=api",
"text_counter": 375,
"type": "speech",
"speaker_name": "Kaloleni, ODM",
"speaker_title": "Hon. Paul Katana",
"speaker": null,
"content": "Tunapoendelea kuunga mkono mataifa mengine ili kupigana na ugaidi, ni lazima pia, sisi kama taifa, kupitia vitengo vyetu vya usalama na ujasusi, tutambue watu wanaofadhili makundi ya kigaidi hapa nchini. Tuko na kitengo cha ujasusi na kwa hivyo, ni lazima kiangalie hao watu wanatoa pesa wapi, na zinaingia hapa nchini kivipi. Bila hivyo, hata tukitunga sheria ama kuunga mkono Hoja ambazo zinakuja hapa, hatutakuwa na suluhu la ugaidi."
}