GET /api/v0.1/hansard/entries/1369908/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1369908,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1369908/?format=api",
    "text_counter": 377,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kaloleni, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Paul Katana",
    "speaker": null,
    "content": "Mhe. Spika wa Muda, nikiunga mkono, ni lazima tutafute wanaohusika kwa kuwashawishi vijana wetu wajiingize katika makundi ya kigaidi. Nilitangulia kwa kusema swala nyeti ni kwamba uhaba wa kazi umechangia pakubwa. Kwa hivyo, tutunge sheria za kuthibiti, lakini la muhimu ni lazima tutafute mbinu mbadala za kuhakikisha kwamba vijana wetu wana ajira, na wanajiingiza katika makundi ya kutafuta mapato yao ya kiuchumi na si ya uhalifu."
}