GET /api/v0.1/hansard/entries/1370218/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1370218,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1370218/?format=api",
"text_counter": 300,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": "Katika eneo Bunge langu, Lamu Mashariki, tumeathirika kiuchumi. Watu wanaoishi katika Wadi za Basuba na Kiunga wanaathirika sana kwa upande wa kupeleka chakula. Saa hii kuna mafuriko ambayo yamesababisha shida ingine. Usafiri ni shida kwa sababu ya magaidi. Wanaweka Improvised Explosive Devices (IEDs) kwenye barabara. Mtu akitoka Wadi ya Hindi kwenda Basuba hadi Kiunga, ni lazima atumie pikipiki kwa sababu barabara haitumiki saa hii. Hii imesababishwa na masuala ya ugaidi. Barabara iko lakini haitumiki kabisa."
}