GET /api/v0.1/hansard/entries/1370219/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1370219,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1370219/?format=api",
    "text_counter": 301,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": "Ninashukuru Serikali kwa sababu imeamua kuweka lami hiyo barabara. Saa hii haitumiki. Njia ya usafiri inayotumika ni pikipiki. Unalipa Ksh7,500 kubeba vifungu viwili vya unga ndio ufike sehemu hiyo. Eneo hilo lote la Basuba na Kiunga limeathirika kwa sababu maendeleo hayafanyiki. Ukitaka kupeleka mradi kule, unaambiwa haufanyiki kwa sababu ya utovu wa usalama. Yote yanatajwa kwa sababu ya mambo ya ugaidi."
}