GET /api/v0.1/hansard/entries/1370221/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1370221,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1370221/?format=api",
"text_counter": 303,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": "Jambo hilo linatuogopesha. Lisije likatumika. Kwa mfano, ninasikitishwa sana na yale yanatendeka kule Lamu. Ndugu zetu waliokuja Lamu ni wenzetu, Kenya ni moja. Jamii hiyo imekuwa Lamu tangu tuwe wachanga na imekaa na wazee wetu vizuri bila chuki. Siasa zinapoanza, watu huuwawa. Wanapouwawa, hofu inaingia katika jamii. Unapowaambia waende kwa mashamba, wanasema wanaogopa kwa sababu wataonekana kule na kuitwa magaidi. Vijana hawajakuwa wakienda shambani; wanaenda baharini peke yake."
}