GET /api/v0.1/hansard/entries/1370223/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1370223,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1370223/?format=api",
    "text_counter": 305,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": "Sisi watu wa Lamu tunapendana, na wale wanaoishi Lamu watakwambia hivyo. Kanisa lilipochomwa, uchunguzi ulifanywa na kubainika kuwa aliyelichoma ni Murithi Robert. Tukio hilo lilirekodiwa kwenye Occurrence Book (OB) Number 371/170/23. Mtu huyo alishikwa, akafunguliwa mashtaka na kufungwa miaka minane gerezani. Mbona mtu achome kanisa? Ili Wakristo waone kuwa Waislamu wamechoma kanisa, waende kuchoma msikiti ndio vita The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor"
}