GET /api/v0.1/hansard/entries/1370225/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1370225,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1370225/?format=api",
    "text_counter": 307,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Lamu East, JP",
    "speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
    "speaker": {
        "id": 2100,
        "legal_name": "Shariff Athman Ali",
        "slug": "shariff-athman-ali"
    },
    "content": "Ninataka niwaelezee wenzangu jinsi mambo ya Lamu yanavyoendelea. Waziri Kindiki ni mchapa kazi na anajua kazi yake. Achunguze maneno yangu na kuangalia mambo ya Lamu. Kuna shida zaidi kule Lamu. Tulipokuwa wachanga, kulikuwa na Shifta War . Tulikuwa tunajua kuwa ni lazima tunyamaze tunapopita mahali fulani. Hatungeweza kuzungumza tukiwa kwenye basi. Sehemu hizo ndiko watu wanakoishi wakati huu, na Al Shabaab wanapatikana huko."
}