GET /api/v0.1/hansard/entries/1370226/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1370226,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1370226/?format=api",
"text_counter": 308,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": "Ninajua kuwa Serikali ina uwezo wa kuchunguza na kufuatilia mambo haya. Wakati wa Shifta War, Wabajuni walioishi barani walifukuzwa wakiambiwa kuna vita. Ugaidi umebadilisha jina kule Lamu lakini mambo haya yapo na yamekuwa yakituathiri. Ni lazima tuhakikishe kwamba wanaotunga sheria hawazitumii kuwagandamiza watu wengine. Hatutaki Mkenya yeyote aumie. Tunataka aishi popote bora watu waheshimiane na wasitumie ugaidi. Wakati watu wanauana wenyewe kwa wenyewe, wasiseme ni ugaidi."
}