GET /api/v0.1/hansard/entries/1370227/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1370227,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1370227/?format=api",
"text_counter": 309,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": "Mwanzo, jambo hilo linawapatia popularity na wao hutaka kujulikana kwa media . Wahalifu wote kutoka Kiambu na kaunti nyingine wanaenda kujificha huko. Kuna mmoja alishikwa kule Salama, Lamu baada ya kujificha kwa miaka minane. Alikuwa most wantedcriminal huku na akakimbilia kule Lamu. The Directorate of Criminal Investigations (DCI) imeshika mtu kule, lakini isiwe ni magaidi tu. Kuna wahalifu wanaokimbia viziwani na kwenda Kisauni kwa sababu kuna Wabajuni wengine ambao wamejificha kule. Kuna wahalifu wanaojificha kule Salama, Wida na kwingineko. Ninaomba Serikali iingilie kati na kushughulikia jambo hili kwa kina na kutumia nguvu zote kulitatua. Limetuathiri zaidi na ninataka likome."
}