GET /api/v0.1/hansard/entries/1370303/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1370303,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1370303/?format=api",
"text_counter": 47,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": " Asante, Bw. Spika. Kwanza, naungana na wewe kuwakaribisha ndugu zetu Maseneta kwa mwaka huu. Nawatakia kila la heri, fanaka na ukarimu kama tunavyo omba. Jambo la kwanza, huu utakuwa muhula wetu wa tatu. Wale Maseneta ambao wamechaguliwa kukaa katika Kamati hii ambayo ndio Kamati ya kwanza kwa Kamati zote za Bunge, wengi wao ni wale walikuwa kwa kipindi cha pili. Hakuna yeyote aliyetolewa. Wote wako sawa. Ningependa kusema ya kwamba hawa Maseneta wako na ujuzi sana. Kwa hivyo, mimi niko na imani tutalenga vile inavyotakikana kwenda kulingana na biashara yetu ya Seneti katika mikutano na kwa kuendesha Seneti vilivyo. Ninayo imani wakati huu, tutakuwa na wakati mchangamfu sana katika Bunge letu la Seneti. Kwa hayo machache, asante sana, Bw. Spika."
}