GET /api/v0.1/hansard/entries/1370364/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1370364,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1370364/?format=api",
"text_counter": 108,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Wafula",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 348,
"legal_name": "Davis Wafula Nakitare",
"slug": "davis-nakitare"
},
"content": "Kanuni na sheria tunazotunga na nafasi za kazi zinazotolewa katika nchi ya Kenya, lazima vijana wapewe kipaumbele kwa sababu hao ndio uti wa mgongo wa Serikali na siku zijazo."
}