GET /api/v0.1/hansard/entries/1370539/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1370539,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1370539/?format=api",
"text_counter": 110,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Nakubaliana na vile ndugu yangu Sen. Cheruiyot anasema. Mwenyekiti wangu Sen. Cheptumo hajalala. Sen. Cheptumo ni mtu yuko sawa sawa kabisa na ni wakili mkubwa. Yeye hajasinzia, yuko sawa sawa kabisa lakini ni vile tu hajaongea kwa kusema kuwa SingOei alifanya makosa sana."
}