GET /api/v0.1/hansard/entries/1370546/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1370546,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1370546/?format=api",
    "text_counter": 117,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": " Asante, Bw. Spika. Kama ndugu yangu Sen. Cheptumo ametuhakikishia kuwa yeye hayupo usingizini kama anavyosema Kiongozi wa Walio Wengi, Sen. Cheruiyot, sisi tunataka tuchukue hiyo hatua ya kwamba huyu ofisa ambaye ni ofisa wa chini sana katika hii Wizara ya Mambo ya Nje, aitwe hapa ili tumhoji."
}