GET /api/v0.1/hansard/entries/1370731/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1370731,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1370731/?format=api",
"text_counter": 302,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Asante, Bi. Spika wa Muda. Nachukua fursa hii kuunga mkono Hoja hii ya kuhairisha kikao. Mwaka huu Seneti imekua na mambo mengi iliyotekeleza. Tukikumbuka ya kwamba Seneti ilienda kule Turkana mashinani na ikafanya vikao mahali kwingi."
}