GET /api/v0.1/hansard/entries/1370896/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1370896,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1370896/?format=api",
    "text_counter": 102,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Chute",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13583,
        "legal_name": "Chute Mohamed Said",
        "slug": "chute-mohamed-said"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika, kwa nafasi hii ili nijiunge na wenzangu kuzungumza juu ya shida za Bunge la Seneti. Mimi natoka Kaunti ya Marsabit. Juzi tulimsikia Sen. Lomenen wa Kaunti ya Turkana akisema tukienda kipindi cha mapumziko wakati huu, sisi ambao tunawakilisha kaunti hizo hatuna mapumziko. Tunasikia milio ya bunduki ikipigwa kila mahali."
}