GET /api/v0.1/hansard/entries/1370897/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1370897,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1370897/?format=api",
    "text_counter": 103,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Chute",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13583,
        "legal_name": "Chute Mohamed Said",
        "slug": "chute-mohamed-said"
    },
    "content": "Kaunti ya Marsabit imefurika maji hata watu wameshindwa kufika katika vituo vya chakula. Kwa sasa, tunasaidiwa na helikopta kusambaza chakula. Hata hivyo, Serikali haina helikopta za kutosha. Tuko na shida. Watu ambao wanafanya kazi katika ofisi zetu, hawapati chakula kwa sababu wengi wao wanaishi sehemu ambayo helikopta haiwezi kufika. Wale ambao wanaishi vijijini hawawezi kufika katika vituo vya chakula. Mpaka sasa, wafanya kazi katika ofisi zetu hatujapata pesa za kusimamia shughuli za ofisi hizo."
}