GET /api/v0.1/hansard/entries/1370898/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1370898,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1370898/?format=api",
"text_counter": 104,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Chute",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13583,
"legal_name": "Chute Mohamed Said",
"slug": "chute-mohamed-said"
},
"content": "Safari ya kutoka Nairobi hadi Marsabit ni mbali na gharama ya kusafirisha vitu ni kubwa sana. Watu wetu wana shida ni nyingi sana. Masomo ni duni na kupata chakula ni shida. Ukisikia mtu katika Kaunti ya Nairobi akisema anaumia mara 10, basi sisi tunaumia mara 100 kwa sababu ya shida za usafiri na milio ya risasi. Kiangazi kikija, kinakithiri. Pia mvua ikinyesha, inakithiri, mafuriko yanakuja na milio ya bunduki ni kila mahali."
}