GET /api/v0.1/hansard/entries/1370901/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1370901,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1370901/?format=api",
"text_counter": 107,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Chute",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13583,
"legal_name": "Chute Mohamed Said",
"slug": "chute-mohamed-said"
},
"content": "Jana niliona maajabu sana katika mtandao wa Twitter na nilishangaa sana. Kuna wageni kutoka Somaliland ambao walikuja kwa Ofisi ya Spika wa Seneti. Mhe. Spika aliwakaribisha na mimi pia nilikuwa hapo. Msimamizi wa Somaliland alisema kuna takriban Wakenya 30,000 wanafanya kazi Hargeisa huko Somaliland. Akaongezea kusema kuna wanakandarasi wa Kenya ambao wamejaa huko. Alieleza kwamba hawana mayai wala kuku huko Somaliland. Mayai na kuku ambao wanakula wanatoka Uropa."
}