GET /api/v0.1/hansard/entries/1370902/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1370902,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1370902/?format=api",
    "text_counter": 108,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Chute",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13583,
        "legal_name": "Chute Mohamed Said",
        "slug": "chute-mohamed-said"
    },
    "content": "Akasema pia majani chai ambayo yangetoka Kenya yaende moja kwa moja hadi Somaliland, yanaenda Uropa na Uturuki ndio irudishwe Somaliland. Hayo majani chai ni ya wakulima wetu ambayo yanapelekwa huko Uropa na Uturuki kisha yanauzwa katika Somaliland. Huyo msimamizi aliiomba Serikali ya Kenya ianzishe huduma za usafiri wa ndege kutoka Nairobi hadi Hargeisa, Somaliland. Hiyo safari itarahisisha maisha ya watu wanaosafiri kikazi kutoka Kenya hadi Somaliland. Wale wanaoishi Somaliland, pia wakaomba huduma ya ndege kati ya Hargeisa na Nairobi."
}