GET /api/v0.1/hansard/entries/1370903/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1370903,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1370903/?format=api",
    "text_counter": 109,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Chute",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13583,
        "legal_name": "Chute Mohamed Said",
        "slug": "chute-mohamed-said"
    },
    "content": "Alizidi kusema ya kwamba imechukua miezi 18 na mpaka sasa, hawajapata huduma za usafiri wa ndege kwenda mpaka Hargeisa. Nakumbuka alisema wanaenda Hargeisa kupitia Djibouti ama Ethiopia na gharama yake ni takriban Dola 1,800."
}