GET /api/v0.1/hansard/entries/1370904/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1370904,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1370904/?format=api",
    "text_counter": 110,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Chute",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13583,
        "legal_name": "Chute Mohamed Said",
        "slug": "chute-mohamed-said"
    },
    "content": "Hiyo biashara ingekuwa ya manufaa kubwa kwa Kenya kuliko Somaliland. Nilishangaa sana kuona Katibu wa Kudumu wa Wizara ya Mambo ya Nje, akijibu kupitia kwa Twitter badala ya kuchukua simu na kusema wamepata hilo ombi na watashughulikia. Alijibu kwa Twitter huku akidhalalisha Bunge la Seneti, akauliza Seneti iko na kazi gani na Spika wa Seneti anaingiliaje haya mambo?"
}