GET /api/v0.1/hansard/entries/1370905/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1370905,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1370905/?format=api",
    "text_counter": 111,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Chute",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13583,
        "legal_name": "Chute Mohamed Said",
        "slug": "chute-mohamed-said"
    },
    "content": "Kwa hivyo, tutakaporejelea vikao vya Bunge, nitaleta swali nikitafuta kujua kwa nini hiyo safari ya ndege ya kwenda Hargeisa imechelewa kuanzishwa. Kama wamelalia kazi, waachane na hiyo kazi. Kama wanaweza kufanya hiyo kazi, waifanye na waache Seneti ifanye kazi yake."
}