GET /api/v0.1/hansard/entries/1371260/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1371260,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1371260/?format=api",
    "text_counter": 253,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13585,
        "legal_name": "Murango James Kamau",
        "slug": "murango-james-kamau"
    },
    "content": "Asante, Bw. Spika wa Muda. Kwanza, nachukua nafasi hii kuwashukuru wote ambao wamechangia Mswada huu wa Kahawa. Takribani kaunti 17 zinakuza kahawa. Mabadiliko katika sheria ya kahawa yatafaidi wakulima pakubwa. Hii sheria itaondoa mawakala ambao wamekuwa wakinyanyasa wakulima kwa muda mrefu. Sheria yenyewe pia itatengeneza nafasi za ajira. Bw. Spika wa Muda, nashukuru Maseneta wote waliochangia na kuunga mkono Mswada huu. Ninaomba swali la mwisho uweze kukiuliza kesho ikiwezekana."
}