GET /api/v0.1/hansard/entries/1371907/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1371907,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1371907/?format=api",
    "text_counter": 274,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kavindu Muthama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13733,
        "legal_name": "Agnes Kavindu Muthama",
        "slug": "agnes-kavindu-muthama"
    },
    "content": "Hii ni kwa sababu kuna akina mama wanaishi nyumbani, wanazaa na kulea watoto. Wakati baba yuko kazini, huyu mama ako nyumbani anachungia baba boma lakini wakikosana, unapata mama anaondoka mikono mitupu na amemzalia watoto na kumfulia nguo. Mama anafanya kazi mchana na usiku bila kupumzika. Ni lazima hiyo ihesabiwe kama kazi ambayo mama amefanya na contribution ambayo mama ameleta kwa hiyo boma. Ninaongea na uchungu mwingi kwa sababu nimeona wengi sana ambao---"
}