GET /api/v0.1/hansard/entries/1371909/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1371909,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1371909/?format=api",
    "text_counter": 276,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kavindu Muthama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13733,
        "legal_name": "Agnes Kavindu Muthama",
        "slug": "agnes-kavindu-muthama"
    },
    "content": "Okay, Mr. Temporary Speaker, Sir. Ninaongea kwa uchungu mwingi kwa sababu hizo dhuluma za akina mama zimekuwa nyingi sana. Akina mama hawana muscles za kupigana sana kama akina baba. Kwa hivyo, ni rahisi mama kushindwa nguvu na kuuwaua ama kuumizwa. Kama vile Bibilia inasema, sisi wanawake ni wanyonge na wanaume watuchukue kwa urahisi, yaani watubebe hivyo, watuelewe na watupatie nafasi yetu tuweze kufanya mambo vile tunastahili kufanya. Ninaunga mkono Hoja hii. Ukiweka hiyo ya matrimonial property, mwangalie---"
}