GET /api/v0.1/hansard/entries/1371928/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1371928,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1371928/?format=api",
    "text_counter": 295,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Shakila Abdalla",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 380,
        "legal_name": "Shakila Abdalla",
        "slug": "shakila-abdalla"
    },
    "content": "Asante Bw. Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii nami pia nichangie katika mjadala huu muhimu wa akina mama. Kwanza, ningependa kuchukua fursa hii nimushukuru Sen. Munyi Mundigi leo kwa kumbuka wamama ikiwa ni Valentine Day . Ijapokuwa sisi Waislamu hatusherekei"
}