GET /api/v0.1/hansard/entries/1372101/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1372101,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1372101/?format=api",
    "text_counter": 146,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Miraj",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Asante Bw. Spika kwa kunipa fursa hii adhimu ili niunge mkono mswada uliopendekezwa na Kiranja wa Walio Wengi hapa Bungeni, Sen. (Dr) Khalwale. Nakubaliana na pendekezo la kupunguzwe muda ili kila Mjumbe aweze kuchangia katika hotuba ya Rais anapozungumza na sisi Wabunge wa Taifa hili. Nimesikia wenzangu wakichangia na nimenukuu mengi nikiwa pale sebuleni na nikasema na mimi nije nipeane mchango wangu. Nataka kuwakumbusha Wajumbe wenzangu ya kwamba tuko hapa kama mhimili mmoja miongoni mwa mihimili mitatu ya Serikali yetu ya Kenya. Hatuko hapa kuwa wapinzani na wenye Serikali. Tuko hapa na"
}