GET /api/v0.1/hansard/entries/1372103/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1372103,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1372103/?format=api",
"text_counter": 148,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Miraj",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "majukumu matatu ya kuwawakilisha wananchi wa Kenya, kusimamia rasilimali zao na pia kuwatungia sheria za kulinda na kusongesha taifa letu mbele. Sisi kama Wajumbe wa Seneti, tuko na jukumu moja kubwa la kusimamia gatuzi zetu 47 katika taifa la Kenya. Lakini ni jambo la kusikitisha sana kuona kwamba Rais anapokuja kutuzungumzia yale aliyoyafanya kama mhimili mmoja wa Serikali the"
}