GET /api/v0.1/hansard/entries/1372105/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1372105,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1372105/?format=api",
"text_counter": 150,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Miraj",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "sisi tunaanza kukejeli yale aliyokuja kutueleza. Yangu ni kuwapa ushauri nasaha ndugu zangu sote tulioko hapa; tuko na jukumu katika taifa hili kama viongozi kuweza kupeana mwelekeo na kutoa suluhu ya matatizo yanayotukabili sisi kama taifa. Ni vizuri sana Wakenya wanapo tuangalia kule nje katika mirengo tofauti, tujue lile jukumu kubwa lililotuleta katika Bunge hili. Jukumu letu ni kuwezesha kuwa wasimamizi wa rasilimali za Wakenya na kuwa viongozi wanaona tatizo liko wapi. Yupo kiongozi mmoja hapa aliye zungumzia maswala ya Competency Based"
}