GET /api/v0.1/hansard/entries/1372117/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1372117,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1372117/?format=api",
    "text_counter": 162,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Miraj",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Inshallah. Asante Bw. Spika. Yangu ninapo zungumza na nikimalizia, sisi hapa tumekuja kama Wakenya ili kuleta suluhu na kutatua matatizo ambayo yanatukabili kama Wakenya. Ni vibaya sana kuona viongozi wa upinzani ndugu zetu ambao tunakunywa nao chai na tupiga tu story kama kawaida, tunapofika katika Bunge hili, wanaleta siasa nyingi. Hawa ni ndugu zetu ambao tunakunywa nao chai na kupiga stori kama kawaida. Tunapofika katika Jumba hili, wanaleta siasa nyingi. Mimi niko tayari na Rais aambiwe pale amefanya makosa ili huduma kwa wananchi ziafikiwe kwa malengo. Asante, Bw. Spika."
}