GET /api/v0.1/hansard/entries/1372216/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1372216,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1372216/?format=api",
"text_counter": 261,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bw. Spika wa Muda, hakuna haja ya kuwa na shirika la kuhifadhi maji kwa sababu hakuna maji ya kuwatosha binadamu na pia wanyama pori katika mbuga zetu kwa matumizi yao. Napinga Mswada huu. Nitakomea hapo. Asante kwa kunipa fursa hii."
}