GET /api/v0.1/hansard/entries/1372469/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1372469,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1372469/?format=api",
"text_counter": 41,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13585,
"legal_name": "Murango James Kamau",
"slug": "murango-james-kamau"
},
"content": "Asante Bw. Spika wa Muda. Kwanza nataka kusimama na maombi ya wakaazi wa Muthanthara kuhusu maeneo yanayohusu hati miliki ya ardhi. Nimetoka Kaunti ya Kirinyaga, eneo la Mwea. Mwaka 2020, nilimzika nyanya yangu akiwa na miaka 118. Sikuwa nafaa kufanya hivyo kimila, lakini alifaa kuzikwa na kijana wake wa kiume wa kwanza. Kutoka enzi za ukoloni, wakaaji wa Mwea The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate."
}