GET /api/v0.1/hansard/entries/1372470/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1372470,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1372470/?format=api",
"text_counter": 42,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13585,
"legal_name": "Murango James Kamau",
"slug": "murango-james-kamau"
},
"content": "hawajapata hati miliki ya mashamba yao na wanalazimishwa kuzika watu wote katika makaburi ambayo yamejaa na hayawezi panuliwa kwa sasa. Miaka ambayo imepita, watu wamezaana; watoto na vijana ni wengi. Wanaomiliki mashamba hawawezi kuyagawa mashamba yale kwa watoto wao kama urithi, kwa sababu hawana hati miliki. South Ngariama na Mwea Irrigation Scheme katika Kaunti ya Kirinyaga kuna shida ya mashamba kukosa hati miliki. Ili jamii iimarike kiuchumi lazima tuhakikishe kwamba wale ambao wanalia wapewe hati miliki wapatiwe, kwani zitawasaidia kiuchumi. Ukiwa na hati miliki unaweza pata mkopo kutoka kwenye benki."
}