GET /api/v0.1/hansard/entries/1372474/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1372474,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1372474/?format=api",
    "text_counter": 46,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Ni masikitiko kwamba miaka karibu 61 ya uhuru bado tunalilia ardhi ambazo ni zetu na ni za jadi. Sioni sababu gani Serikali ipiganie kujenga manyumba kwa wakaaji ambao hata ardhi hawana. Utapata kwamba Kaunti ya Embu inapigana kujengea watu wake nyumba lakini kwa sasa hakuna ardhi za wakaaji. Watu wanakaa katika ardhi yao ila ni squatters ."
}