GET /api/v0.1/hansard/entries/1372475/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1372475,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1372475/?format=api",
"text_counter": 47,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Ningependekeza kwamba kabla Kamati iangalie swala hili, wapewe nafasi ya kuwaita the National Land Commission (NLC), Land Registrar wa Embu na landadjudication officer waeleze ni kwa sababu gani wale watu hawawezi kuruhusiwa kukaa pale mpaka wakati adjudication process itakamilika, ili wale ambao wameleta maombi yao kwenye Bunge hili wasiweze kufurushwa. Tumeona watu wanafurushwa sehemu tofauti kutoka makaazi yao. Hili jambo limekuwa la kawaida. Mapema katikati ya mwezi uliokwisha wakaazi wa Changamwe"
}