GET /api/v0.1/hansard/entries/1372477/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1372477,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1372477/?format=api",
    "text_counter": 49,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "walifurushwa asubuhi bila ya court order ama stakabadhi yoyote ya kisheria ya kuwataka waondoke mahali pale. Ni haki ya kila Mkenya kupata nyumba ama makao ya kudumu. Hii haki imebadilishwa na Serikali ambayo inavunja makao ya wananchi katika sehemu tofauti. Hili ni swala nyeti na lazima Kamati ya Ardhi, Mazingira na Maliasili ilivalie njuga kwa haraka ili wale wakaazi wa Embu wapate makao ya kudumu katika ardhi ambazo wamekaa kutoka jadi. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate."
}