GET /api/v0.1/hansard/entries/1372931/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1372931,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1372931/?format=api",
    "text_counter": 153,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kilifi County, ODM",
    "speaker_title": "Mhe. Gertrude Mwanyanje",
    "speaker": null,
    "content": " Ahsante, Mhe. Spika. Nataka kuzungumzia pesa za National Government Affirmative Action Fund (NGAAF) ambazo ni za Wawakilishi wa Wanawake Bungeni. Wabunge wanazungumza kuhusu pesa za NG-CDF pekee yake. Kama Wawakilishi wa Wanawake katika Bunge hili, tuko katika dau hilo. Hatujapata pesa hizi. Mimi Mbeyu, nikiwa Mbunge kwa mara ya pili sasa katika Bunge hili, najua tunayafanya mengi zaidi kushinda wabunge wanaowakilisha eneo moja. Kama ni kulipa"
}