GET /api/v0.1/hansard/entries/1373116/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1373116,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1373116/?format=api",
"text_counter": 338,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": "Mhe. Spika wa muda, kama Mama Kaunti ninasema tuweke sheria. Mwenye kuua auliwe, mwenye kulawiti mtoto mdogo akatwe dude lake. Tusipoenda namna hiyo, watu watakua wakiendelea kila siku wakilawiti watoto na kuwaua akina mama na wao wanakaa wakinywa kahawa na wakijisikia vizuri mahali walipo. Sisi tunasema jicho kwa jicho, sikio kwa sikio. Ukiua na wewe uuawe. Ukilawiti na wewe ukatwe dude lako. Ahsante Mhe. Spika wa Muda."
}