GET /api/v0.1/hansard/entries/1373145/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1373145,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1373145/?format=api",
    "text_counter": 367,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kwale County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Fatuma Masito",
    "speaker": null,
    "content": " Ahsante sana, Mhe. Spika wa Muda. Yangu ni kusindikiza kwa kusema kuwa mjinga akierevuka, mwerevu basi yuko mashakani. Mnatuona sisi wanawake kuwa wajinga. Mnatufanyia vitendo vya kinyama lakini siku moja, mtatupata mbali tukierevuka. Pia, nasema kwamba ukimya si ujinga wala upumbavu. Mhe. Spika wa Muda, hili ni jambo la kusitikisha kwa wazazi, na inanifanya naongea mpaka nasikia nimeguswa kama mwanamke ambaye anapitia mambo haya. Ahsante sana. Naunga mkono Hoja hii ambayo imeletwa na dada yetu, Esther Passaris. Ahsante, Mhe. Esther Passaris."
}