GET /api/v0.1/hansard/entries/1373158/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1373158,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1373158/?format=api",
"text_counter": 380,
"type": "speech",
"speaker_name": "Lamu East, JP",
"speaker_title": "Hon. Ruweida Mohamed",
"speaker": {
"id": 2100,
"legal_name": "Shariff Athman Ali",
"slug": "shariff-athman-ali"
},
"content": " Ahsante sana, Mhe. Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii ili nichangie. Kwanza, ningependa kumpongeza Mbunge Mwakilishi wa Wanawake wa Kaunti ya Nairobi, Mhe. Esther Passaris, kwa kuleta Hoja hii. Pia, namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuwa katika Eneo Bunge langu la Lamu Mashariki, hakujawahi kutokea mauaji kama haya ya kinyama. Wanaume wetu ni wastaarabu; hawaui wanawake. Nachukua nafasi hii kuwapongeza wanaume wote wa Lamu Mashariki. Ni kweli Lamu The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor"
}