GET /api/v0.1/hansard/entries/1373680/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1373680,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1373680/?format=api",
"text_counter": 187,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa County, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": "Hata huko Mombasa nyumba zimejengwa. Watu walitolewa katika nyumba zao huko Buxton. Waliambiwa kwamba wao, ambao ni maskini, nyumba zikijengwa watakuwa wa kwanza kupewa. Saa hii nyumba zimetimia huko Buxton. Niliskia aliyekuwa amepewa hii"
}