GET /api/v0.1/hansard/entries/1373682/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1373682,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1373682/?format=api",
    "text_counter": 189,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa County, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": "akisema mikono yake imefungwa. Aliomba kabisa nikiskia na masikio yangu kwamba watu waliotoka hizo nyumba wapatiwe nafasi ya kwanza kuingia lakini mpaka leo hawajarejeshwa pale. Hizo nyumba zauzwa Ksh5 milioni ama Ksh7 milion. Tusifanye mambo ya danganya toto. Walimdanganya mama mboga, muuza viazi na yule anayesukuma mkokoteni kuwa zile nyumba zitakuwa zao. Kumbe tunawahadaa wananchi."
}