GET /api/v0.1/hansard/entries/1373690/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1373690,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1373690/?format=api",
    "text_counter": 197,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kikuyu, UDA",
    "speaker_title": "Hon. Kimani Ichung’wah",
    "speaker": null,
    "content": " Asante sana, Mhe. Spika wa Muda. Hoja yangu ya nidhamu ni kwamba hapa bungeni ni lazima tuongee tunavyo sema kwa lugha ya kimombo with relevance . Yani tuongee mambo yanayohusu Mswada ulio mbele yetu. Nimemskia Mhe. Zamzam akiongea kuhusu Fuel Levy. Sijui Fuel Levy ina uhusiano gani na Mswada ulio mbele yetu. Labda atuelezee. Pia, nimemskia akiongea kuhusu amri ya mahakama ambayo iko Changamwe. Haina uhusuiano na Mswada huu. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor"
}