GET /api/v0.1/hansard/entries/1373814/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1373814,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1373814/?format=api",
"text_counter": 321,
"type": "speech",
"speaker_name": "Ugunja, ODM",
"speaker_title": "Hon. Opiyo Wandayi",
"speaker": null,
"content": " Vilevile, nyumba zimebomolewa katika Kijiji cha Msambweni, Eno Bunge la Voi. Nilikuwa na nafasi ya kufika mahala hapo, na nikajionea mimi mwenyewe wananchi wakihangaika na kufurushwa kutoka katika nyumba zao. Hata Changamwe, mwenyewe nilizuru mahali pale pamoja na kiongozi wangu, Mhe. Raila Amolo Odinga. Nilisikitika sana."
}