GET /api/v0.1/hansard/entries/1373822/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1373822,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1373822/?format=api",
"text_counter": 329,
"type": "speech",
"speaker_name": "Jomvu, ODM",
"speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
"speaker": null,
"content": "wameambiwa wakatwe hii pesa kwa pamoja. Kwa Kizungu tunasema wamekuwa generalised . Lakini kwa wanaokatwa kuna mmoja ambaye ako na mkopo na mwingine hana. Kwa hivyo, yule ako na mkopo ana mzigo mkubwa. Hatuangalii huu mzigo alionao anaukabili vipi, ila tu tunamkata hizo pesa. Mapendekezo yangu ni kuwa pesa hizi ziwe ni kwa mwenye kutaka ama kwa Kizungu"
}