GET /api/v0.1/hansard/entries/1374279/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1374279,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1374279/?format=api",
"text_counter": 360,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": " Bi. Spika wa Muda, Bunge la Seneti ni Bunge linalo heshimiwa sana na hivi sasa kwa Taifa nzima, macho yote yame elekezwa hapa. Itakuwa si heshima, mtu kuwataja viongozi, Maseneta waseme atangulishe vile anavyo ongea kisha wewe useme, hiyo ni sawa na anaweza kwenda kuketi na kwenda zake nyumbani. Bi Spika wa Muda, hayo ni makosa kabisa kwa sababu hairuhusiwi katika Kanuni za Kudumu za Seneti mtu kutajwa hapa asiyekuwa ndani ya Bunge, asiyeweza kujitetea."
}