GET /api/v0.1/hansard/entries/1375912/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1375912,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1375912/?format=api",
"text_counter": 46,
"type": "speech",
"speaker_name": "Runyenjes, UDA",
"speaker_title": "Hon. Muchangi Karemba",
"speaker": null,
"content": " Ahsante, Mhe. Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi ya kuchangia Mswada huu muhimu ambao unahusu wazee wa vijiji. Hao ni watu muhimu sana katika jamii. Kwa muda mrefu, wamekuwa wakisaidiana na Serikali kuu kuhakikisha kwamba mambo yako sawa kule mashinani. Ningependa kumshukuru sana Mhe. Malulu Injendi kwa kulishuhulikia swala hili la wazee wa vijiji na kuuleta huu Mswada ili kuhakikisha kwamba jambo hili limewekwa kwenye sheria itakayohakikisha kwamba, kama tunavyowashughulikia Community Health Volunteers (CHVs), tutaweza kuwashughulikia wazee wa vijiji angalau waweze kupata kitu cha kuwasaidia kujikimu kimaisha. Nimetazama kule kwangu Runyenjes na kuona kwamba miongoni mwa Deputy County"
}